Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habari za leo wanajukwaa!! Leo yamenikuta wanajamvi, naomba sana msaada wenu juu ya hili.
Ni hivi, katika pita zangu humu jamvini nikaona kuna post inasema kuwa Windows Phone developers wametoa update mpya ya whatsapp ambayo inawezesha kufanya call (hapa Android walitangulia kitambo).
Sasa jana nacheki simu yangu nakuta kuna update notification, kuifungua ni ya whatsapp.
Basi bila hiyana nikaruhusu update kufanyika.
Hapo ndio kama nikawa nimeiroga Whatsapp. Maana yake haitaki hata kufunguka. Nilifanya ku-uninstall whatsapp na kuinstall upya lakini wapi. Ukiclick wasap ni kama inafunguka halafu inarudi tena chini.
Nimejaribu kufanya Factory reset ya simu, hakuna mafanikio.
Simu yangu ni Huawei W1 inatumia Windows 8.0.
Upande wa Net ndio hii naitumia kuandikia uzi huu yaani haina shida yeyote ile, shida ni wasap tu.
Naomba msaada wenu.
Cc CHIEF MKWAWA, Young Master, Watu 8, na wengine wote bila kumsahau mtu mzima Dingiswayo

Last edited by a moderator: