Jamani wanajf mtaalamu yeyote juu ya utumiaji Wa Hii mtandao juu ya service Hii ya mpesa, tigopesa na airtel anipe dondoo kidogo kuhusu Hii business
Je, inalipa?
Pili nina mtaji kama Wa 500,000 je...
habari zenu wandugu,kwa kweli wandugu nina ndoto ya kuja kuwa muandaaji bora sana wa music ila wapi chuo bora cha music production au nani ana mautundu haya nipate kufunguliwa 2 akili kidogo coz...
Jamii Forum leo vipi kuna tatizo gani naona kuna muda JF inakuwa offline. Vipi ni users wamekuwa wengi?
Jitahidi m boreshi mitambo hasa kipindi hichi cha uchaguzi imekuwa tegemeo letu kupata update.
Wadau, naombeni msaada kwa wenye kufaham hii kitu, nimenunua king'amuzi cha zuku full, na kukipeleka kijiji huku wilaya ya nzega, nimejaribu kutafuta fundi wa kunifanyia installation...
Simu lumia 520 imejilock imejaribiwa hard reset imeshindika , sasa inasema kuna dakika 22000 mpaka ijiunlock. Je kuna njia nyingine ya kutatua tatizo hili
Habari za jioni wapendwa samahani ninatumia HTC desire A8181, nilikuwa naomba msaada kwenye YouTube inaandika no network connection lakini kwingine mtandao Upo vizuri na kinapelekea kutoonyesha...
wadau ninaomba kueleweshwa vizuri ni baada ya kuiroot hii Simu tecno h6 Kwa kutumia kingoroot sasa kuna hii superuser app INA sehemu ambayo ina application kama explore,greenifly nk sasa...
Wakuu nina samsung tabs s 10.1 32gb cellular nililetewa mwaka jana, imeanza tatizo la kuwa inajirestart fluently yaani ikisha jirestart ukiigusa tu screen inajerestart tena..nimeihard resert but...
wana jukwaa habari..
nina maswali naomba msaada
jinsi ya kudownload nyimbo bila kutumia iTune, kuna app nzuri zinazoweza nisaidia na nikasikiliza nyimbo au videos bila kua online??baada ya...
Habari zenu wakuu.
Well, kuna uzi niliwahi kuusoma hapa jamvini nafikiri yapata mwaka sasa tangu niusome kwa bahati nimeusahau wadau.
Ulikuwa unauzungumzia kuwa, kama mtu ameweka thread ndani ya...
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao.
Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote...
Wadau naomba kujuzwa,kati ya Window Phone hasa Nokia Lumia/ Microsoft na Android hasa Tecno BOOM J7,ipi inafaa zaidi. Nalenga zaidi kwenye ufanisi wa internet,charge na uimara.
Kwa miaka sasa, ushindani mkubwa umekuwepo kati ya Android OS (inayomilikiwa na Google) na iOS (inayomilikiwa na Apple. Operating System ya Android ni tofauti kidogo na iOS, Android ni mradi huru...
Naomba msaada wenu nimeibiwa simu aina ya htc m8 sasa nmeskia kuwa naweza kutafuta mtandaoni na kumfichua mwizi sehemu alipo kwa kutumia mtandao.
Sasa ni hatua zipi natakiwa kuzifuata za kumbaini...
Wadau habari, naomba msaada wenu simu yangu ya techno Phantom z mini inagoma kufanya updates, na kufanya installation ya application mpya, Inasema "installing" tu muda wote
Kaka ulikuwa unawasikia hawa jamaa sasa leo nimeamini kweli watakuwa tishio ktk tasnia hii ya mawasiliano nchini Tanzania. Kwa muda mrefu akina voda wametuibia sana hadi wakafikia kufunga ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.