Msaada: Jinsi ya kumpata mwizi wangu wa simu

Msaada: Jinsi ya kumpata mwizi wangu wa simu

mlude-go

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
118
Reaction score
9
Naomba msaada wenu nimeibiwa simu aina ya htc m8 sasa nmeskia kuwa naweza kutafuta mtandaoni na kumfichua mwizi sehemu alipo kwa kutumia mtandao.

Sasa ni hatua zipi natakiwa kuzifuata za kumbaini mwizi wangu

Naomba msaada wenu, nawasilisha.
 
tumia ( ADM ) android device manager ADM will keep track of any phone or tablet linked with your Google account na inafanya kazi hata kama location history itakuwa imezimwa.
nenda kwenye ADM site hapo una log in to your Gmail account . hapo utaona options nyingi kuanzia ku ring device kutumia msg kwenye simu yako ku erase all data and ku track device.
Note; ADM aitofanya kazi kama simu imezimwa au kuwekwa airplane mode
 
Back
Top Bottom