Msaada:Kati ya Window Phone na Android ipi zaidi?

Vegetarian

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
657
Reaction score
515
Wadau naomba kujuzwa,kati ya Window Phone hasa Nokia Lumia/ Microsoft na Android hasa Tecno BOOM J7,ipi inafaa zaidi. Nalenga zaidi kwenye ufanisi wa internet,charge na uimara.
 
Internet - Zote sawa
Charge - Tecno
Uimara - Lumia
 
inadepend na lumia ipi, mfano simu kama lumia 625 ni nzuri kuliko tecno yoyote kuhusu charge, internet na uimara na unaipata kwa bei hizo hizo za boom sema upatikanaji wake tu ni mgumu.

internet- lte(4g) ina band tatu 800/1800/2600 (4g ya tigo ni hio 800), wakati tecno hazina 4g (atleast za bei rahisi)
-3g pia ina band tatu ambazo ni 850/900/2100 hivyo hapa utampiga bao tena tecno sababu utaweza kuweka line ya smart tecno nyingi ni 2100 tupu

speed ya internet hii 625 kwenye 3g ni hadi 42.2mbps hivyo hapa pia umezipita tecno nyingi modem yake ina nguvu hasa ukiwa maeneo ambapo 3g haina watumiaji wengi utapata speed kubwa.

kuhusu charge lumia 625 ni nzuri hasa kama unapiga simu mara kwa mara japo ni ya kawaida kwenye kuangalizia video au kubrowse

kuhusu uimara lumia nyingi ni imara hasa zilizotengenezwa kabla ya nokia (d&s) kununuliwa na microsoft.
 
Asanteni sana wadau,nitafanyia kazi ushauri wenu. Nimeona description ya Chief Mkwawa imenifumbua macho zaidi.
 
Nimepata suluhisho la mp3 kuwa ringtone,vipi application ipi ni bora kwa camera!?
 
inadepend na lumia ipi, mfano simu kama lumia 625 ni nzuri kuliko tecno yoyote kuhusu charge, internet na uimara na unaipata kwa bei hizo hizo za boom sema upatikanaji wake tu ni mgumu.

internet- lte(4g) ina band tatu 800/1800/2600 (4g ya tigo ni hio 800), wakati tecno hazina 4g (atleast za bei rahisi)
-3g pia ina band tatu ambazo ni 850/900/2100 hivyo hapa utampiga bao tena tecno sababu utaweza kuweka line ya smart tecno nyingi ni 2100 tupu

speed ya internet hii 625 kwenye 3g ni hadi 42.2mbps hivyo hapa pia umezipita tecno nyingi modem yake ina nguvu hasa ukiwa maeneo ambapo 3g haina watumiaji wengi utapata speed kubwa.

kuhusu charge lumia 625 ni nzuri hasa kama unapiga simu mara kwa mara japo ni ya kawaida kwenye kuangalizia video au kubrowse

kuhusu uimara lumia nyingi ni imara hasa zilizotengenezwa kabla ya nokia (d&s) kununuliwa na microsoft.

vp camera na bei ya iyo lumia 625??
 
Chief-Mkwawa ndo maana nikiweka line ya smart kwenye Nokia N80 sipati 3G sababu ina band moja tu 2100

zipo n80 mbili (according to gsmarena) moja ina band ya 2100 na nyengine 1900 kuna uwezekano yako ina 1900 tu. sababu 2100 ndio yeboyebo huku kwetu airtel, tigo, voda na zantel wanaisuport hio.

mtandao wenye band tofauti ni voda na smart wakitumia ile network ya tritel ambayo ipo sana mikoani. upo wapi wewe? kama haupo dar test smart au kama upo dar jaribu voda kufanya manual search kuna network inakuja kama roaming inaweza kuja kwa jina kama tritel au zikaja namba namba tu.
 
Last edited by a moderator:

Chief-Mkwawa mimi nipo dar, na nikiweka line za Vodacom, Airtel na tiGO napata 3G kama kawaida hapa nilipo natumia 3G ya tiGO na jana nilitumia 3G ya Vodacom na Airtel. Lakini nikiweka line ya Smart hamna kitu, je, mikoani naweza kupata 3G ya Smart? Maana nimenunua line ya Smart baada ya kusikia 3G yao inapatikana mpaka maeneo ya vijijini.
 
nilisoma vibaya comment yako ya juu nikakujibu vice versa, smart hawana 3g dar na kama una 2100 peke yake huenda na mikoani pia usiipate sababu smart walikuwa hawaisuport hio band
 
Last edited by a moderator:
Shukrani Mkuu

hiyo laini ya smart ni IPI mkuu manake Niko maZingira ambayo sipati update yoyote ya tz on time Niko porini sana boda ya tz n Burundi kwenye one of the refugee camp .so mnijuze ili nipate kuelewa manake nimeona kuna vijiminara vinajengwa virefuuu huku ila sijajua ni vya kazi gani
 
Back
Top Bottom