Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimenunua laptop aina ya LENOVO B50-30. Window 7 bit 32.Lakini kinachonishangaza ni kwamba hawezi kucharge phones wala kusoma usb ya phone. Tatizo litakuwa nin maana nimejaribu kudownload na...
0 Reactions
3 Replies
630 Views
See the link below! https://www.nasa.gov/mission_pages/newhorizons/main/index.html
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Habari, Msaada
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Dear Smart heads, Any one who can help recover data on DVD? Ahsante. Cell: 0759866007
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Wadau naomba kufahamu Mkulu wa Nchi anatumia kifaa gani kusoma hotuba yake hapa Bungeni, au ndio kameza maana naona kama hasomi popote pale.... Naombaa kujuzwa wanaTeknolojia.
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Hv mAh ndio inadetermine simu kukaa na charge muda mrefu? Kwa mfano nikiwa na simu ambayo ni bettery yake ni Li-Ion 2500mAh na nyingine yenye Li-Ion 3000Amh alaf nikaziweka kwenye matumizi...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani , naombeni kujua kwa dar naweza kupata wapi kioo cha flat screen ya sing sung 32 inch kwa pale kariakoo duka gani naweza kupata . Au kama kuna mtu anaweza nipa mawasiliano / namba za simu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wenyekuzijua zile gemu nzito naomba mziweke hapa ili nijaribu kwenye tecno h6
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa anaijua naomboa msaada PC ina goma connect modem pia inagoma ku unstall..
0 Reactions
7 Replies
956 Views
Habari zenu wana jf...simu yangu nilikuwa naicharge ilivyo jaa nikaizima kisha nikabadilisha laini.nilivyo jaribu kuiwasha tatizo inaandika nokia tu mda wote haireti menu ya simu...msaada...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi na anayejua anachofanya, laptop yangu imegoma kuwaka kila ikiwaka inaishia kulongo logo ya window na kuzima nd sometime inakubali kuwaka kwenye safe mode but also...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wataalam, Naomba msaada namna ya kuzuia kwa muda kupokea notification katika group mbalimbali Facebook tofauti na kujitoa kabisa!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wa JF tafadhali sana ninaomba mwenye product key za Adobe Premiere Pro CS5. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wataalam naombeni msaada wenu.cmu yangu inatoa kimesej kuw cmu memory imejaa alaf inanesema ni unstall apps.sasa nime unstal zile zote nilizodownlod lkn bado hicho kimesej kinakuja yaan zimebak...
0 Reactions
5 Replies
956 Views
wakuu my android no version 4.2.2 kama kuna app au njia naweza kuiapdate maana kuna Meseji ilikuja yanambia my android is too old need updating!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa ina stuck. Nikibonyeza power button huwa inazima na haiwaki tena. Ni mpaka ni-press 'power button' na 'volume up' keys kwa pamoja ili ni-reboot. Hii hutokea hasa ninapokuwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wakuu nahitaji kununua kununua printer kwa ajili ya office yangu..printer ya karatasi sio t-shirts..nahitaji iwe na minimum spcs: 1. Printing speed angalau 50ppm 2. Colored au Black/White 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wapi naweza pata laptop Samsung hapa Arusha kwa bei nafuu. Ram4 Core i3 500gb hard drive.
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Kwa yeyoyete anayefahamu, nawezaje kuroot simu tajwa hapo juu bila computer?!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom