Music production

Jomla

Member
Sep 25, 2011
77
60
habari zenu wandugu,kwa kweli wandugu nina ndoto ya kuja kuwa muandaaji bora sana wa music ila wapi chuo bora cha music production au nani ana mautundu haya nipate kufunguliwa 2 akili kidogo coz hii n ndoto yangu toka mdogo sana. Nipo arusha na nimezunguka sana bila mafanikio na nimemaliza six mwaka huu.msaada please wakuu.
 
Kuwa karibu na maprodyuza utatoka,wengi wamejifunzia kupitia internet,kuhusu chuo labda THT
 
Kwanza lazima uwe na Kompyuta yako binafsi,mf Laptop,au hata Desktop yenye uwezo mkubwa (Program nyingi za Music Production ni Kubwa).Pili tafuta(omba,nunua) Program za Qubase,Au Fruitloops au kwa kuwa unaanza siyo mbaya ukaanzia kuitumia Hip Hop E -Jay, baadae ukishazizoea hizo program anza kutembelea studio mbali mbali, usiogope masimango au dharau, (kwani ndo tabia ya 'Maprodyuza' wengi wanaojiona wako juu).Halafu usikifiche kipaji chako,onesha ulicho nacho popote inapotokea nafasi.Kila kitu kizuri kina usumbufu wake.Kwa Arusha watafute watu kama Nah Reel(Pah One) au John B(John Blaze) au Maproducer wadogo wadogo unaweza kutimiza ndoto yako ukijituma.All the Best
 
Usisite kuingia mitandao kama Youtube,Lynda.com ,au yoyote unapoweza kupata Tutorials za kukisaidia kukuongezea Mautundu zaidi ili uje uwe Mkali sana hapo baadae,Kumbuka Producer hafundishwi Chuo,kile ni Kipaji ambacho unaongeza na ubunifu wako zaidi.Chuo wanaki 'garden' kipaji chako tu.
 
dah pamojah sana
 
1 lv mkuu
 
umefikia wap on music production? ,mimi ni mtumiaji wa fruity loops na kidogo ableton live ,,,tunaweza kubadilishana mawazo nichk kwa 0657650403 ..
 
Chalie ya Ara..
Nitafute nikupeleke kwa Naahrel..
Tafuta ada kidogo tu na uwe na bidii
 
Back
Top Bottom