Installation zuku dish

Installation zuku dish

Fedora

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
238
Reaction score
173
Wadau, naombeni msaada kwa wenye kufaham hii kitu, nimenunua king'amuzi cha zuku full, na kukipeleka kijiji huku wilaya ya nzega, nimejaribu kutafuta fundi wa kunifanyia installation imeshindikana, je inawezekana ku-install mwenyewe? Na kama ndio naombeni mwongozo
 
je umelipa package? kama ni ndiyo chukua kikaratasi kimo kina mxhoro jins ya kufunga zen ukimaliza tafuta sehemu ya kufunga ambapp panakufaa ila uelekeo ni mashariki hakikisha lnb uko horizontally chekecha dish I utapata
 
Sija lipa, maana wakala aliniambia nitapewa ofa ya mwezi mmoja, lkn ofa hiyo atairuhusu pale nitakapoweza kuset dish na kupata zuku zone.
Pia hiyo lnb nitajuaje km ipo horizontal maana ni ya duara. ASANTE
 
jinsi ya kuifunga. ndo itadetermine uhorizontal wake haya ZUKU zone inatosha kusetia dishi
 
usijisumbue bure kama hujawahi kufunga dish utachemka. funguka upo mkoa gani upate msaada toka kwa mafundi. au hutaki pesa yako iliwe na fundi
 
usijisumbue bure kama hujawahi kufunga dish utachemka. funguka upo mkoa gani upate msaada toka kwa mafundi. au hutaki pesa yako iliwe na fundi

Naomba usome mwanzo wa Uzi huu sio unakurupuka tu kama zuzu.
 
Hata ngoja tuone utapataje msaada kama ndizo kauli zako kwanza umeingia choo cha kike
 
kulalek hata mie.nipo porin huku Kilwa Masoko ndo nafunga kimazabe hapa
 
Haya kwa wale wanaotaka kupata zuku free huku ukipata chanelz zaid ya 160.. Npm nkupe maujanja
 
Back
Top Bottom