PC Kitandani

PC Kitandani

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,507
Reaction score
5,742
Jamani naomba kujua kuna madhara gani endapo niikiweka pc kitandani
 
Ninavyofahamu mimi pc inapokua inatumika hutoa joto hivyo inahitaji kuwekwa sehemu ambayo ni non heat conductor, ukiweka kitandani then ikakutana na godoro huwa inapata sana joto kwakua hushindwa kupumua kwa yrahic hivyo pc inajua nzito sana
 
Cha msingi angalia feni ya pc yako ipo upande gani kama ipo chini basi unapo iweka kitandani haito weza kupumua au kutoa hewa ya joto ndani inapo fanya kazi, ila kma feni yake ya kupumulia ipo pembeni sio mbaya ina kuwa na unafuu wa kupata hewa images.jpg mfano kaa hii haifai kuwekwa kitandani fan yake ipo chini so itakapo zibwa na kitu kama gondoro au shuka kitandani pc yako ita overheat na kupata madhara
images (1).jpg hii fan ipo pembeni ipo safe ukikaa nayo kitandani koz inauwezo wa kupumuz kwa upande japo ni muhimu pia kuhakikisha iwapo kitandani tundu lake halija zibwa na chochote.
hayo ndio maoni yangu wengine wa changie pia. asante
 
Cha msingi angalia feni ya pc yako ipo upande gani kama ipo chini basi unapo iweka kitandani haito weza kupumua au kutoa hewa ya joto ndani inapo fanya kazi, ila kma feni yake ya kupumulia ipo pembeni sio mbaya ina kuwa na unafuu wa kupata hewaView attachment 267400 mfano kaa hii haifai kuwekwa kitandani fan yake ipo chini so itakapo zibwa na kitu kama gondoro au shuka kitandani pc yako ita overheat na kupata madhara
View attachment 267402 hii fan ipo pembeni ipo safe ukikaa nayo kitandani koz inauwezo wa kupumuz kwa upande japo ni muhimu pia kuhakikisha iwapo kitandani tundu lake halija zibwa na chochote.
hayo ndio maoni yangu wengine wa changie pia. asante

pia kuongezea hapa angalia na TDP ya processor yako, processor inayotumia watts ndogo unaweza tumia laptop yake mahala popote pale nyengine hata hazitumii feni. na kama processor ina watts nyingi basi itahitaji mzunguko mzuri wa hewa na pia itatumia feni mda mwingi
 
Cha msingi angalia feni ya pc yako ipo upande gani kama ipo chini basi unapo iweka kitandani haito weza kupumua au kutoa hewa ya joto ndani inapo fanya kazi, ila kma feni yake ya kupumulia ipo pembeni sio mbaya ina kuwa na unafuu wa kupata hewaView attachment 267400 mfano kaa hii haifai kuwekwa kitandani fan yake ipo chini so itakapo zibwa na kitu kama gondoro au shuka kitandani pc yako ita overheat na kupata madhara
View attachment 267402 hii fan ipo pembeni ipo safe ukikaa nayo kitandani koz inauwezo wa kupumuz kwa upande japo ni muhimu pia kuhakikisha iwapo kitandani tundu lake halija zibwa na chochote.
hayo ndio maoni yangu wengine wa changie pia. asante

Yangu ni kama hyo ya juu ambayo fen yke ipo chin,ni madhara gani yanaweza kama ikipata joto xana
 
Ikipata joto sana zile chip za RAM huwa zinaexpand na zinaweza kuungua kabisa au kulegea kwenye ile fitting yake

PC utakuwa unaiwasha halafu windows inafail kuload,screen inakuwa nyeusi tu hivi
 
Yangu ni kama hyo ya juu ambayo fen yke ipo chin,ni madhara gani yanaweza kama ikipata joto xana
tatizo ambalo unaweza kumbana nalo ambalo due to overheating ni kuungua kwa processor ambayo hiyo ndio kama pc yenyewe au roho ya pc yako, hard disk pia itakuwa hatarini kufa
 
Nimewaelewa wadau na ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom