Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Aliyewai kufanya rooting ya design hii akafanikiwa, 2share maujuzi tafadhali.....nawasilisha!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari napenda kupata kuelewa utaratibu wa kutuma pesa kupitia Western Union?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanateknolojia habari zenu; Samahani naomba msaada wa kujua bei za Vioo vya simu hizi; 1>htc one x 2>sony experia Z1 2>samsung galaxy mega Pia itakuwa sio mbaya sana nikifahamu naweza kuvipata...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
watu wengi tunatumia Internet to communicate to learn to entertain , keep in touch na ku shop bt si watu wote wana matumizi niliyotaja hapo juu kuna cyber criminals out there who see Internet as...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita nilishare link ya kufanya namna unavyoweza root Android smartphone kwa kutumia app ya Towelroot, app hii inakubali katika smartphone nyingi kuanzia HTC mpaka Xiaomi. Kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina receiver yangu toleo la kwanza aina ya media.com 910 NEW niliinunua mwaka 2006 lakini hivi juzi kati mwaka jana kulikuwa na radi iliyopelekea kuunguza receiver nyingi hapa ushirombo ila hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna jamaa anataka kuniuzia nahitaj masaada wenu maana Copy ni nying sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wataalamu wa mambo ya ving'amuzi(continental), channel za kibongo zote zimefutika nimeshindwa kuzirejesha. Wataalam mnisaidie tafadhari..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi designers. Do you love your website? How about you give it some love by implementing a few tips I have here for you. They may look simple or so obvious but they mean a lot and bring a whole...
1 Reactions
0 Replies
698 Views
Laptop yangu ni Asus core i3, nilipanda nayo kwenye daladala ikiwa kwenye begi nilipokuja kuwasha baada ya kutaka kuitumia nikakuta ina nyufa kwenye kioo na izo nyufa zinaleta alama ya wino kana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko na mamsap hapa kwa lisaa, nataka ni spy Sim yake ya android. Faster nieke application gani. Ntatoa zawadi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina website yangu imetengenezwa kwa Word press..sasa kuna kitu kinaitwa bots huwa nakiona kwa chini pamoja na visitor. ningependa kufahamu bots ina maanisha nn? Na Pia ni plugin...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Natumia tigo, bahati mbaya nimefuta settings. Naombeni mnipe hizo settings. Natumia windows phone. Cc Chief-Mkwawa
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Amani na izidi kutawala mioyo yenu wana jukwaa, Tafadhalini, kuna jamaa yangu anasimu tecno y3 sasa imekorofisha haifungui Internet, japo alama zinazoonesha uwepo wa internet kama vile E,3G na H+...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajuvi msaada juu ya kutengenezewa rimoti ya gari baada ya zamani kuharibika. Nawasilisha kwa msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kifaa hiki kinaweza kutumika kwa ajili ya Kurushia mawimbi ya radio umbali wa kilometer mbili, Mdau mmoja wa Kariwa Tabora ambae amefunga Transmitter hii kasema imerusha mawimbi Hadi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mara nyingi watanzania wamekuwa wakitengeneza blog na wavuti na kuweka hadithi za jabu ajabu na picha na video za ngono ili kuvutia watemebeleaji.Hiki ni kitu kibaya na hakiendani na maadili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
wakuu kama kicha cha habari kinavyojieleza,naomba msaada jinsi ya kuweka picha kwenye watspp,kwenye simu ya blackberry z10
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wandugu naombeni msaada wenu kwa yeyote ajuaye izi shaver za betri nitapata wapi dar? na shilingi ngapi??basi naomba anipe maelekezo
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Hello Wadau, natafuta vitabu (hard copy) vya .Net vilivyoandikwa na Francesco Balena.
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Back
Top Bottom