M-pesa, Tigo-pesa na Airtel-money dialogue karibuni

M-pesa, Tigo-pesa na Airtel-money dialogue karibuni

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
Jamani wanajf mtaalamu yeyote juu ya utumiaji Wa Hii mtandao juu ya service Hii ya mpesa, tigopesa na airtel anipe dondoo kidogo kuhusu Hii business
Je, inalipa?
Pili nina mtaji kama Wa 500,000 je naweza Fanya business hii kwa kuchukua mojawapo ya line hizi tatu na nikawin Hii business
Tafadhalini sana naombeni ushauri ndugu zanguni all
 
Last edited by a moderator:
Karibuni jamani nahitaji maoni[color/] yenu kwa dhati
 
Tatizo langu ni kwa nini haziINGILIANI ufanyapo hamisho?? voda/tgo waliafikiana baadae ikawa danganya toto
 
[Kuingiliana kivipi
Au kutuma Tigo Kwenda mitandao mingine
Au una maana gani mkuu
 
Biashara hii inataka sehemu yenye population Kubwa yenye wafanyabiashara wengi
 
Kaka asante sana na Vipi kuhusu
Mtaji wangu uko favorable kweli kak
Maana nina kama laki 5 hivi nje ya gharama za kununua line
 
voda wanazingua wamepunguza percent utayobaki nayo kwa kila muamala so dili ni tigo pesa ndio kidogo ukizungusha kwa transaction nyingi unapata faida!!!
 
voda wanazingua wamepunguza percent utayobaki nayo kwa kila muamala so dili ni tigo pesa ndio kidogo ukizungusha kwa transaction nyingi unapata faida!!!

Percent ni ngapi kwa kila transaction kutoa na kuweka
 
Kati ya Tigo, voda na airtel money
Ipi nzuri
 
Back
Top Bottom