Msaada zaidi baada ya kuroot

Msaada zaidi baada ya kuroot

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
wadau ninaomba kueleweshwa vizuri ni baada ya kuiroot hii Simu tecno h6 Kwa kutumia kingoroot sasa kuna hii superuser app INA sehemu ambayo ina application kama explore,greenifly nk sasa niidownload ipi katika zile app!
 
Back
Top Bottom