The highest level of development, as of a device, technique, or scientific field, achieved at a particular time. state′-of-the-art′ adj. n 1.Kuhusu usanii hebu jaribu kaole sanaaa group watakusaidia sana

The highest level of development, as of a device, technique, or scientific field, achieved at a particular time. state′-of-the-art′ adj. n 1.haupo clear kabisa ...labda jaribu kaole kama mdau alivosema hapo...
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao.
Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote nizihamishie kwenye web yangu?
Natanguliza shukraan
si kwamba wamekataaa ila njia ya kuzihamisha ni ipi?sawa, umeisha waambia wakupe data zako, nao waka kataa kukupa?
Hapo umesema neno nikaelewasi kwamba wamekataaa ila njia ya kuzihamisha ni ipi?
.....toka asubuhi tunajaribu njia tofauti na rahisi.....
..kimsingi ni archive toka 2013.,,
Ngoja nipate fegi nje narudiii......
si kwamba wamekataaa ila njia ya kuzihamisha ni ipi?
.....toka asubuhi tunajaribu njia tofauti na rahisi.....
..kimsingi ni archive toka 2013.
Ngoja nipate fegi nje narudiii......
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao.
Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote nizihamishie kwenye web yangu?
Natanguliza shukraan
kama unatumia cPanel fanya back up uchague ftp option hapo utaweka ftp account ya new host, back up itapelekwa huko