Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wapenzi wa brand ya tecno, kafanikisha vitu vya hatari, mmeviona? Katoa tablet inaitwa Droid pad 8 au maarufu kama tecno 8H tablet safi sana niliiona Arusha kwa tsh 350000/= Google uone...
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Poleni na majukumu wana Jf, kwa wale wataalam waliobobea kwenye IT, je kuna jinsi ya kutumia internet free pasipo malipo tena Unlimited! jibu kama ni ndiyo nini kinafanyika na inawezekanaje? lengo...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Jamani kuna sim ya tecno p5 ina tatizo la mtando yaani nikiweka line 2 tigo na voda inasoma ya tigo tu ya voda inasoma mara nyingine inakatika kabisa. Pia 3g haipo active. lakini cha kushangaza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwenye ufaham na hiyo kozi anisaidie,karibun kwa mchango wenu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Teknolojia inazidi kukua siku hadi siku, na kwa kasi ya ajabu sana. Kama wanadamu, tunatakiwa tambua ya kwamba " unapotumia sana mawasiliano ya internet na ndivyo unajitenga na mawasiliano ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau natumaini mu wazima Wa afya njema.napanda jukwaani kuomba msaada kuhusu hili . Nimekuwa nikiona kwa baadhi ya watu wanaposokiliza mziki/ nyimbo kupitia handset zao lyrics za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechoka ku download viji application vinavyo copmress file kiduchu. Nataka niende kwa mtu hata nimlipe. Nina file langu liko katika form ya PDF ni kubwa nataka liwe kiduchu. Nipo Dar Msaada...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Admin ifute iii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Knowledge bure hapa nimeanza kwa style mpya Maelekezo: 1.Zima simu yako kisha toa line na washatena bila line 2.Tafuta unlock code yake yenye tarakimu nane(8) 3.Andika wp unlock code(za hiyo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi, Naomba msaaada wenu, ninashindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa PDF, kila ninapo download halifunguki unakuja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Microsoft Lumia 540 - Dual SIM - 8GB HDD - 1GB RAM - 8MP Camera - Black Short description Display: 5.0"-IPS LCD capacitive touchscreen,-720 x 1280 pixels Storage:-8 GB, 1 GB RAM Camera: 8MP...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wakuu. PC yangu imekufa Motherbody. Hivyo nnatafuta,kwa yeyote anayeuza ama anajua inapatikanaje naomba anitaarifu. Msaada tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau hii game nimexheza sasa nimefka sehemu wananiambia multilayer na lazima ni connect na wifi. Na eneo nililopo hakuna wifi, so nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
865 Views
wadau naomba msaada wenu wa namna ya kupata chaneli za ndani nyingi badala ya moja tuu, nina kingamuzi cha hivyo. kinazingua kweli.. Nisaidieni wataalam..
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jf. Nimetune channel 10 station kwa internal decoder ya tv ya samsung..sasa tatizo sauti ya channel 10 inasikika pamoja na sauti ya magicfm radio. Unawezaje kuitoa sauti ya hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
The Theodore Roosevelt Building in Washington, headquarters of the Office of Personnel Management, is seen on June 19, 2015. Mike Levine The head of the FBI says foreign hackers now have some of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tecno Boom J7 is the latest amazing gadget from Tecno Mobile which has power and greater sound quality. Infinix also has done much on their smartphones to make them stand out as unique among...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Hapa ina maana gani katika hii gari? Msaada please
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom