Qsat yangu nilikuwa naangalia vizuri jana d*tv nikaizima kuiwasha badae inawaka inaonyesha logo ya qsat 28g vizuri ikitaka kuingia kwenye chanel tu inazima inaanza ku load upya ikifikia hapohapo tena inaanza tena msaada wenu jamani aksanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.