Msaada (Mobile Data): Huawei Ascend y300

Dreadnought

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
2,932
Reaction score
4,049
Habarini za sikukuu?

Ninatumia huawei y300, tatizo ni kwamba nikiweka lain tofauti na voda haiaccess mobile data, yaan hata kuonesha E, 3G au H+ haioneshi lakini nikiweka voda mambo safi.

Nilijaribu kuomba internet settings za airtel na tigo nikainstall lakini wapi.

Naomba msaada ndugu zangu wenye ujuzi na haya mambo angalau nijue tatizo ni nini.
 
Hiyo simu siyo ya promotion za voda?,jibu kwanza hili
 
Hapana mkuu hii simu sio ya promotion. Ukiweka lain nyingine inasoma vizuri, simu unapigia msg unatuma, tatizo internet (mobile data) ndo hakuna
 
Habarini za sikukuu?

Ninatumia huawei y300, tatizo ni kwamba nikiweka lain tofauti na voda haiaccess mobile data, yaan hata kuonesha E, 3G au H+ haioneshi lakini nikiweka voda mambo safi.

Nilijaribu kuomba internet settings za airtel na tigo nikainstall lakini wapi.

Naomba msaada ndugu zangu wenye ujuzi na haya mambo angalau nijue tatizo ni nini.

tengeneza access point Mpya...name weka internet na APN weka internet then save...chagua Internet kama access point yako.mchezo utakua umekwisha
 
Sawa mkuu ngoja nijaribu
 
tengeneza access point Mpya...name weka internet na APN weka internet then save...chagua Internet kama access point yako.mchezo utakua umekwisha

Imekubali mkuu nashukuru sana aisee.
 
Back
Top Bottom