Ramani ya vyumba vya biashara/na mahitaji yake

Ramani ya vyumba vya biashara/na mahitaji yake

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
Please msaada wakuu nahitaji ramani ya kafamasi kwenye vyumba viwili ambacho vitakuwa na vioo mbele lakini itakuwa na mlango mmoja wa kuingilia

Mahitaji yake mpaka bati,toa manpower maana ni countryside
nimewaza mpaka kichwa kinauma.

Naomba msaada.
 
Back
Top Bottom