BVR ina accessories kama accessories zingine. Lakini Zina special ID na Specific usage.
Nje ya matumizi kusudiwa inaleta tabu kidogo. Kwamfano, solar accessories zake Zina voltage na Ampere design nje kabisa ya 12/24V.
Scanner yake Ina alama tofauti na scanner zingine nk
Hivyo accessories zote za BVR zimepitia uhakiki wa kiulinzi kabla ya kuingia kutengenezwa. Kama ikifa, ikiibiwa, mvua, vumbi, na hata copyright production.
Hivyo, ndugu hiyo kitu ni kujisumbua kubadili matumizi yake, bora kununua scan, camera, printer, laptop, antenna zako kuliko hili dude la watu.
Program zilizowekwa kutumika humo ndani ni matatizo mengine, zinatoa taarifa sehemu ambayo wewe hukutarajia. Mfano, inatoa taarifa ya solar panels, location, angle nk. Kwa savers za wenyewe.
GPS yake ni balaa tu. Haifai ndugu, inakuacha uko uchi hata shimoni.
Laptop Ina fingertips password facility.
Bios yake imechezewa kijanja Janja.
Camera pin ziko hovyo.
Sanduku Lake ni mzigo.
Ndugu, haya ni madude ya wenyewe, kwa matumizi ya wenyewe. Hayafai hata kuyaongelea, maana wenyewe wanakuona na kukusoma hadi sasa.
Nakutakia
Utafiti Mwema