Msaada: Computer yangu haisomi mtandao na wala haisomi kila kitu

Msaada: Computer yangu haisomi mtandao na wala haisomi kila kitu

mnyansa

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
34
Reaction score
5
Wakuu naomba msaada wenu laptop yangu inasumbua sana kwa sasa haisomi network kabisa . upande wa window system haisomi ram wala prosesa sijui tatizo ni nini japo nahisi partition moja ya window imejaa nakuweka alama nyekundu . naomba msaada wenu wakuu mimi sina ujanja wowote juu ya mambo haya
 
Back
Top Bottom