Ushauri na Maelekezo: Toyota Noah New Models

Ushauri na Maelekezo: Toyota Noah New Models

Nasakadoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
343
Reaction score
169
Salaam Wakuu…
Kuna mtu kanipa kazi ya kuwa nimuulizie Gari gani zuri la kutembelea akiwa na familia yake ya watu wanne mpaka 6, aliniambia anahitaji gari la Sehemu tatu yaani mbele kwa Dreva,katikati na Mwisho. Yupo Nje sasa anataka akija anunue gari la kutembelea yeye na familia yake kwa kipindi ambacho atakuwa Dar.
Mimi binafsi nikamwambia naona NOAH hizi za kisasa kama Voxy na hizi za kuanzia miaka ya 2003-2008 ni nzuri.
basi akataka kujua Bei yake ni shilingi ngapi, Kwa U$D na Tsh… kwa tofauti ya Used na Jipya.
so nimelileta kwenu wataalam wa magari ili nikimpa feedback nimpe za uhakika na halali.
Lakini pia hata kama kuna gari zuri zaidi ya noah la kifamilia ningependa kujuzwa. Shukrani. Nasubiri mrejesho.
 
Kwa mujibu wa wadau wengi nadhani Noah tourer old model ni nzuri zaidi kwa uimara kuliko new model
 
Kwa mujibu wa wadau wengi nadhani Noah tourer old model ni nzuri zaidi kwa uimara kuliko new model

Ok mkuu,japo anayehitaji gari ananisisitizia eti anataka gari zuri kwa maana show kwa sababu ni matembezi ya ndani ya Jiji na Pwani… halafu hatakaa saana,amesema ni miezi kama sita baada ya hapo anarudi na kuachia familia gari.
Hapo vipi
 
Nunua noah old model ndo nzuri ndugu maana new ikigongwa kidogo show yake inaaribika pia ni nyepesi sana mkuu
 
Ok mkuu,japo anayehitaji gari ananisisitizia eti anataka gari zuri kwa maana show kwa sababu ni matembezi ya ndani ya Jiji na Pwani… halafu hatakaa saana,amesema ni miezi kama sita baada ya hapo anarudi na kuachia familia gari.
Hapo vipi

Duh Kwa matumizi ya miezi sita sawa
 
Tunakuja bei sasa... maana naona mengine mnayasahau
 
Ok mkuu,japo anayehitaji gari ananisisitizia eti anataka gari zuri kwa maana show kwa sababu ni matembezi ya ndani ya Jiji na Pwani… halafu hatakaa saana,amesema ni miezi kama sita baada ya hapo anarudi na kuachia familia gari.
Hapo vipi

Noah new model ina show nzuri,hasa ukipata rangi ya pearl white itabamba sana.Old model ni imara ila zimekuwa daladala mpaka zimepoteza ladha.
 
cheki na toyota isis ipo vizur sana na ni family car na ni luxury
 
Back
Top Bottom