anjnr
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 539
- 208
Samahani waungwana, nimejaribu kutafuta humu kama kuna majawabu sijapata. Hivi hizi video za format ya mkv files mfano movie nyingi za ki-nigeria kwenye youtube nikidownload haziplay na media player nilizonazo kwenye pc yangu, naomba kama kuna anayefahamu namna ya kufanya anisaidie. natanguliza shukrani.
Tatizo la pili hii pc yangu nikiweka earphones sisikii sauti kabisa masikioni zaidi ya ile ya speaker za computer yenyewe. msaada jamani wataalam
Tatizo la pili hii pc yangu nikiweka earphones sisikii sauti kabisa masikioni zaidi ya ile ya speaker za computer yenyewe. msaada jamani wataalam