Msaada: S4 inakata internet mpaka ni-restart

Msaada: S4 inakata internet mpaka ni-restart

salumu mitema

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
241
Reaction score
82
Naomba wana tech mnisaidie .tatizo kubwa kwenye hii simu ni kuwa nikiperuzi wakati hapo 2 kwenye chaji net inakata na nakuwa sipatkani kabisa mpaka nizime kisha niweke kwenye chaji, sijui tatzo ni nini.

Asante..
 
Back
Top Bottom