Free sms worlwide over internet!

Popomtata

Member
Dec 20, 2011
63
10
Hii kitu inawezekana lakini acha nifanye research zaidi kwa worldwide lakini kwa Tanzania ni uhakika naomba kwa walio nje ya Tanzania watupie namba na jina la nchi waliko kisha mm nitawatumia sms nao watatupa mrejesho hapa ndipo sasa nitaanza kutoa mbinu za namna ya kukufanya utume sms popote ulimwenguni kwa kutumia data
 
!!!KWA KUTUMIA DATA!!!
Does it mean mbinu hii iko more effective than Watsapp, IMO, telegram n.k
ila wacha niwe mpole, Popomtata nasubiria mbinu hii
 
Kuna web flani niliwahi itumia tena ile ilikuwa waweka hata namba unayemtumia akipokea ujumbe ajue umetoka namba flani yani ulikuwa waweza weka namba yoyote.
Web yenyewe nshaisahau ila nkiipata nitawawekea ulikuwa una uwezo wa kumpakazia mtu mfano nikakutumia sms ukadhani imetoka kwa mtu flani kumbe hapana
 
Aloo kk ukiikumbuka uiweke
 
Kwa upande wa website sio ishu sana mbona kama unatumia phone ingia mjoy.com utapata points za bure za kuanzia. Lakini mm nataka kuwapa maujanja ambayo kabla sijawapa ni lazima nijilizishe kutoka kwenu members kwa kuwatumieni sms za sampo hasa kwa walio nje ya Tanzania kama rafiki yangu Mzizi Mkavu na wengineo.Nimefanya utafiti nchini Tanzania nikagundua iko vizuri haina captcha kwa sender wala any adds kwa receivers na sms inafika kwa wakati mradi tu anayetumiwa awe hewani!
+1587594**** hii ndiyo magic code no. ya kuanzia namba nne za mwisho zinabadilika automatic zenyewe baada y muda fulani. Utakapopata sms yenye kuanza na namba hizo ujue Sender ndio mimi na nilazima nijitambulishe mwishoni mwa sms kwa mujibu wa sera za hiyo kitu. Hii ni App maalum ambayo unauwezo wa kutuma sms yenye maneno yasiyozidi 120, ikiwa na uwezo pia wa kutuma sms kwa mtu yeyote bila kujali ana hiyo app au hana! Ukijaribu kujibu kwa kutumia hiyo namba utaambiwa iwe kupiga au ku- sms itakwambia hauna salio la kutosha hivi ndo kusema kwamba anayekutumia ni lazima ajitambulishe mwishoni mwa sms mfano kama hivi By Mtata +255753245344 ili uwasiliane kwa ukawida. Kama mtu hajajitambulisha halafu akakutukana kupitia namba hii +15875947726 utapata usumbufu mkubwa sana maana hiyo namba haikubali calls wala sms kwenda kwa sender. Kwa sasa kama nilivyosema naendelea na utafiti mambo yatakapo kuwa tayari kila mtu atapata hiyo app lakini ni lazima nipate info zenu ili kudhibiti makosa ya kimtandao kama vile matuminzi mabaya ya hiyo app.
 
Last edited by a moderator:
Popomtata hebu nijuze mkuu inakuaje hii kitu

Huwa napenda kufanya jaribio kwanza ndipo nigawe trick sasa mkuu nipe namba yako ya simu pamoja na country code ya nchi uliyopo then nitakutumia sms ya test na feedback yako ni muhimu ili kuwaamsha na wengine. Ok tupia no. twende kwa vitendo
 
Last edited by a moderator:
Huwa napenda kufanya jaribio kwanza ndipo nigawe trick sasa mkuu nipe namba yako ya simu pamoja na country code ya nchi uliyopo then nitakutumia sms ya test na feedback yako ni muhimu ili kuwaamsha na wengine. Ok tupia no. twende kwa vitendo

namba ni hii +255719222432
 
Mkubwa umenikumbusha App flan ilikuwa inaitwa Fishtext enzi hizo natumia symbian mobile.sijui kama kwa android lipo hii App Ilikuwa ukidawnload hilo file ukajisajili unapewa EURO 30. Ambazo utatuma sms kwa yeyote yule hadi zikiisha ndio uweke vocha ktk mfumo huo wa euro na kila sms ilikuwa ni euro 0.2, na lilikuwa lina machaguo mawili utume kwa namba ya hiyo App au utume kwa namba uliyo sajilia.
Nilidhani unazungumzia hiyo App lkn lakini nadhani sio hiyo.
 
Siyo hiyo mkuu yenyewe ni no pay & everything is free
 
Back
Top Bottom