Msaada window 7 imefutwa hard drive

Rihana

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
498
250
Wakuu naomba msaada mafaili yangu yote yamefutika kwenye window 7 vista, hata programme kama vile word excel inaniambia nikanunue, Je nawezaje ku restore hizo programme? Maana zilikuwepo kwenye compyuta kabla haijaformatiwa nitashukuru sana kwa mchango wa mawazo. Kama kuna mtu ana licence ya Office 2010 naomba msaada niweze kuinstall maana kazi zangu ni za uandishi natumia word zaidi
 
anza upya tu...kuhusu office ingia kat.ph then search utaipata
 
sijakupata what do you mean kat.ph ni search kwenye google au??

http://onhax.net/office-2013-direct-download-links-without-ms-account/

fungua hyo link utapata office hapo lkin ni 2013
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom