Y4

Y4

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Msaada tafadhali
kila nikidownload application kwa mfano;whatsapp;viber;instagram znakubali tatizo ni ku-confirm or to launch! Mara itakuandikia unknown error mara check your internet connection and reboot!
Simu nilikuwa natumia niliunganishiwa na mshikaji wangu
kuhusu mtandao huwa unasoma e mpaka H+ ! Nisaidie jamani
 
Back
Top Bottom