msaada

msaada

Masihi.m

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
104
Reaction score
66
naomba msaada.mimi smu yangu aina ya samsung note 3 inaonyesha 16GB kwny file manager ila ukiweka mafaili ya nyimbo ya 1GB inadai imejaa.sijui ni kwa nini na pia sehemu iliyobaki yaani 15GB inasupport app tu na huwa hairuhusu file zingine zozote.nisaidieni nahitaji kutumia kiasi kikubwa cha internal yake kwenye kuhifadhi file zingine na sio app tu
 
Back
Top Bottom