msaada dell inspiron 15 3000 series

msaada dell inspiron 15 3000 series

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
habari wana jamvi, nimenunua laptop mpya dell inspiron 15 3000series, waliniwekea windows 7 lakini haikua haina drivers za sauti amoja na wireless, nimebadilisha OS nkaweka windows 8 tatizo lililokuja tena ni kua cursor haifanyi kazi mpaka niweke external na bado drivers za wireless zimegoma...tatizo ni nini na naomba msaada wa kuondokana na hilo tatizo.
naomba kuwasilisha.
 
ngoja waje wajuzi zaidi. ila mwenye kuhitaji laptop kama hiyo ani pm ,naiuza bado mpya kbsaa bei rahisi tu
 
Back
Top Bottom