masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
wadau naomba msaada nashindwa kuweka finger print natumia s5 sasa sijui tatizo nini na nafanya zilee step zote pqle kwenye ku register ndo inakataaa
thank you
inakwambiaje

situmii apple...ni s5Wewe ndo utakuwa unajichanganya, inapo kuambia tap ur finger on screen unatakiwa u tap pia itakwambia remove ur finger, yan ni kitendo cha haraka unatakiwa kufanya. Ukimaliza unaweza ukafikir bado kumbe ndo tayari hivyo unaweza kutumia fingerprint. Lkn pia hakikisha kidole chako ni kikavu pia upanguse na kwenye home button kwa kitambaa ili pawe pakavu..mm natumia hyo cm ingawa mwanzo ilitaka kunizingua Lkn baada ya kuwa makin, sasa hvi ni full security..I love Apple!!
mkuu kwenye hiyo sehem nagusa kabisa ila haisemi chochite i mean haianzi kujaza kile kibox kqbisa inakua inaonesha tu ule mfanoNaona wote wamekuyeyusha kwa majibu. Unachotakiwa kufanya;
Fuata maelekezo yake, urudie rudie mpaka ukiona finger print pattern zimejaa kwenye hiyo picha yake. Lasivyo haitaweza ku recognize. Mfano ukiweka itakuambia toa, then unaweka itasema to, then ukiangalia kuna pattern fulani ya michirizi ya finger print inajijenga, endelea mpaka itakapo kuambia ok. Inaweza chukua muda kidogo.
Uko sahihi... Huendeshi gari ya Toyota ila una corola.!situmii apple...ni s5
Uko sahihi... Huendeshi gari ya Toyota ila una corola.!
wadau naomba msaada nashindwa kuweka finger print natumia s5 sasa sijui tatizo nini na nafanya zilee step zote pqle kwenye ku register ndo inakataaa
wamasai kwa ushamba bn