IDE laptop hard drive adopter

Rutayuga91

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
449
249
Nina kajilaptop kangu flani hivi, kana muda mrefu tu tangu kaharibike ila hard drive yake bado ipo poa. Nataka kuichukua hiyo hard drive ili kuongeza kwenye desktop yangu. Ninahitaji kuwa na IDE laptop hard drive adopter ili niweze kuiconnect kishikaji. Wapi naweza kuipata hiyo kitu kwa hapa TZ?!
 
Labda sijaelewa vizuri unataka IDE to sata converter? Cheki kvd mjini.

Ila navyojua kibongo bongo hio adapter itauzwa bei ghali kushinda hio hard disk yako
 
HDD Enclosure ni USB tu

USB tu kivipi? Maana itabidi case iwe na connector ambayo inajichomeka kwenye hdd, sasa hio connector Ni aina gani?

attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom