Special number ya tigo na voda

Special number ya tigo na voda

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupata special number ya tigo na voda kabla sijakwenda kwa wakala ili anitengenezee hiyo namba, ningependa niitafute mwenyewe kwanza kabla sijakwenda kwao.
 
jaribu kuipiga namba unayoitaka....kama inapatikana ujue huwezi kuipata ila kama haipatikan chukua hiyo.....
 
sasa achukueje?
Anaenda kutengenezewa ama kupitia Freelancers au kwenye ofisi moja kwa moja... however, inaweza isiwe inapatikana lakini ikawa imesajiliwa; so usipokuwa mwangalifu unaweza kukuta namba ambayo ishasajiliwa kwa mtu mwingine... ndo pale, unakuta namba ni yako wewe, lakini ukitumiwa Tigo Pesa, linatokea jina la Chige!!
 
kablaa ujamfata freelancer kuna code mwenyewe unaweza piga nakuchagua namba uitakayo kwa tigo hii code ni ipi na inafanya kazi,?
 
Hamna kitu kama hicho unless kama ni new product in the market! This's how it works... assume unaitaka namba 0713xxxyyy. Unachofanya unatumia simu yako mwenyewe using your current number kupiga hiyo namba utakayo! Ikiita au ukipata jibu "namba unayopiga haipatikani", that means hiyo namba tayari ipo active kwahiyo unaachana nayo! Ukipiga na ina-terminate hapo hapo, possibly haina m2 lakini vile vile inawezekana owner ame-filter/block incoming calls... but unaweza kujaribu kwa Freelancer apate uhakika... same as ukiambiwa hiyo namba haipo! Kwahiyo hakuna cha code wala nini!

NOTE: Majority huwa wanachagua namba mzuri... like 0713777333... forget about numbers of that nature! May be kwa mitandao mingine lakini kwa Tigo probability ya kupata namba kama hiyo ni below 10% unless kama ni new code... I mean; 0713 ni old code na wengi huwa wanazipenda hizi ili waonekane wameanza kumiliki simu tangu zamani!!! New codes ni hizi zinazoanzia 0673...! If you're luck, kama new code ndo inaingia sokoni, unaweza kupata namba of your dream... kwa Tigo, nikisema kama ndo inaingia sokoni iwe ndo inaingia sokoni kweli kweli!!!

REMEMBER: Hizi namba mzuri kupitiliza ni bonge la biashara! Assume 0713555555.... wakati wewe (na-assume) unafikiri kulipa sh.1500 hadi 5000/= kuna lots of crazy people outta there willing to pay more than 100,000/=, YES, you heard me... more than 100K cash just for a single chip!!! But look here, assume your birth date is 15/07/1989 and you want 150789 to be your phone number... who else would love to have 0713 150 789 number for no reason?! Rule of thumb; jiulize wewe mwenyewe endapo kama si issue ya kwamba ni tarehe ya kuzaliwa, je ungeipenda hiyo namba? if the answer is YES YES YES; so there're so many other YES YES YES outta there for the same number but if it sounds so horrible even to yourself then there's a chance you can get the number... ipige kwa kutumia namba yako mwenyewe ukiona inaita, achana na 0713 code go to 0712.... 0714... 0715 and so on hadi unaiweka kibindoni but forget about sexy numbers ambazo hata Freelancers wenyewe hawanazo!!!!
 
Maelezo safiii mkuu ila nadhani kuna sehemu tunapishana mfano apo awali kun code nilikuwa napga na kutengeneza special but nafanya ivo kwa new chip tu ambayo tu nikishaibadili naenda kwa agent na io namba then ana register mara mwisho tigo ilikuwa ina support kwa code 0655 tu kwa special hio code nahsi ni *221*2# nimejaribu kwa sasa but haifanyi am not sure kama ndio ndo mana nauliza au kuna changes io njia yako ckuwa kutumia na niliuza number nyingi tu very special kupitia io njia
 
Hapo nimekusoma but for what I know, hiyo code inatumiwa na freelancers na kama wameacha kuitumia labda ni hivi majuzi... am afraid na wewe isije ikawa hiyo access ulipewa na insider! Kama bado ni active or not, hebu jaribu kwa hizi new codes (kama hujajaribu)... am not sure ikiwa wapo kwenye 0673 or 0674... Kama hujajaribu hizo codes hebu jaribu kisha utupe feedback na kama ingekuwa ni siku ya kazi, ningem-call insider mmoja anijuze ikiwa hiyo service bado ipo au hapana!
 
Kiongozi ebu tuchat WhatsApp +13234333795
 
Dah, Mkuu kuna ujinga niliufanya last week! Nilikuwa nimepoteza simu kwahiyo nikanunua nyingine! Nafika home, kumbe inatumia nano sim card wakati nilipoenda ku-renew chip nilichukua micro-sim card! Unfortunately sikuwa na muda tena wa kurudi town kwahiyo nikaamua kuipunguza mwenyewe... na ktk hizo harakati, nikala a very tiny part ya chip kwa upande wa chini ambako ndo kunakuwaga na internet access!!! So, tangu hapo sina access ya net kwa kutumia simu... JF, FB, Instagram na wengine wote lazima nitumie pc na whatsaap ndo hao tena!!! But nimechukua namba for future use na nitakushitua nikiwa online.
 
Pole sana mkuu
 
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupata special number ya tigo na voda kabla sijakwenda kwa wakala ili anitengenezee hiyo namba, ningependa niitafute mwenyewe kwanza kabla sijakwenda kwao.

Weka last 6 digits utafutiwe na utaje umeandaa sh ngapi? Kuna washkaji zangu watu wa motandao. Hakuna kinachoshindikana mjini hapa
 
Back
Top Bottom