Download cpu z halafu angalia specs zake. Samsung wanatumia chip za qualcom au exynos ikikikuonesha hivyo ujue ni original ikionesha ni mediatek basi ni fake
mkuu hiyo cpu z unadownload kwenye simu hiyo unayoicheki kama feki ama? na unaidowload kupitia playstore?
hizo cpu nadownload kwenye nini?
kwenye simu husika au sio