Watumiaji wa Showbox tukutane hapa

Watumiaji wa Showbox tukutane hapa

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
habarini ndugu zangu wote wapenda muvi.....imepita wiki sasa application ya showbox katika simu yangu haidownload muvi yani server haileti option ya kudownload muvi....hii inaniumiza sana kwangu mpenda muvi...lengo ni kutaka kujua kuwa hili tatizo hili ni kwangu tu au hata nyie wenzangu watumiaji wa hii app
 
movies si uende torrent tu
 
yap inazngua kwel...huwez kudownload au kuplay....ila inatokeaga sana lakn inakaa sawa ila now naona imezid sana
 
Tafuta ya zamani inakubali ikikuletea option ya ku update unakataa.
 
Back
Top Bottom