ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
STV 8172A , Vertical deflection IC.nimeitafuta hii IC hapa Arusha maduka karibu yote nimeikosa, limebaki duka moja tu sijaenda; sasa naomba anayeweza kuniambia Dar au moshi nitaipata kwa gharama gani. Siyo IC ya gharama sana ila imekuwa shida kupata hata Equivalent yake kutokana na specs zake LA78040 haziendani. CC TransistorSpecs zake baadhi ni:Input supply 35VOutput 3AFlyback 70V
Last edited by a moderator: