Msaada: Tatizo la Google playstore katika smartphone

Msaada: Tatizo la Google playstore katika smartphone

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari wana jf? ? Naomben mnijuze maana nna week tena nashindwa kupakua applications na game katika google playstore na wakati niki download ina Error could not download this application due an error!! Error of retriving information from server!!( RPC .............
Ahsanteni
 
Jaribu kuangalia internet kama ipo sawa au inahitaji kufanyiwa settings upya..Pia eneo ulilopo kama mtandao upo vizuri na ukishindwa yote fanya factory reset...
 
Back
Top Bottom