Nauza Samsung LED TV flat screen nchi 26.

Nauza Samsung LED TV flat screen nchi 26.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari.
Nauza tv tajwa hapo juu bado mpya imetumika miezi 4 tu.bei 330,000Tsh..kwa mawasiliano 0686979746.
 
Weka picha na sababu ya kuuzia tujue kama si magumashi

Kwa picha zaidi njoo whatsap ndio maana nikaweka namba hapo. Ni nzima kabisa wala haina magumashi. Uzuri unaiona unajiridhisha ndio unanunua. nauza kwa sababu nimenunua nyingine kubwa.
 
Kwa picha zaidi njoo whatsap ndio maana nikaweka namba hapo. Ni nzima kabisa wala haina magumashi. Uzuri unaiona unajiridhisha ndio unanunua. nauza kwa sababu nimenunua nyingine kubwa.

Brand?
 
Punguzo linatolewa
 

Attachments

  • 1438518931854.jpg
    1438518931854.jpg
    23.1 KB · Views: 164
  • 1438518956604.jpg
    1438518956604.jpg
    37 KB · Views: 163
Back
Top Bottom