Microsoft Edge another Level Kabisa ya Browser

Microsoft Edge another Level Kabisa ya Browser

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,017
Reaction score
1,154
Jana nimeupgrade to w10, one thing that stands out clear ni hii browser mpya ya Microsoft Edge!!! Highlight, mark, make web note nk I love it already!!
 
Bado Win 10 ina lad sana, subiri waiweke sawa kwanza.
 
Wabongo tuna matatizo sana...hizo lads zimetokea wapi? una uhakika na genuinity ya kifaa chako? Microsoft sio wajinga walaunch kitu ambacho hakijakamilika. acheni kujifanya mnajua wakati hamna kitu.
 
Bado Win 10 ina lad sana, subiri waiweke sawa kwanza.

Nimetumia win 10 since developer preview...the only lag ilikuwepo kwenye build 10158, ambayo was soon fixed kwenye build 10162, Microsoft have done great job in this release of Windows
 
Back
Top Bottom