Mkinga Wa Milimani
Member
- Jul 31, 2015
- 11
- 0
Natumia receiver aina ya DVB - S2 Satellite receiver (MediaCom MFT - 940 Plus) kwa kutumia Dish dogo, nimeifunga kwenye NILESATE 7°W, na signal zipo vizuri. Ila tatizo channel za kitanzania zote sauti zinakatakata, tatizo ni nini? Nifanye nini ili niwe nazipata vizuri