Pole na majukumu wanaJF pamoja na ufisadi wa Escrow
Naomba kufahamisha nawezaje kutumia kifaa changu cha android kama decoder kwenye tv, nina app moja nimeinstall katika simu nacheki mpira...
Naombeni kujua jamani..hawa jamaa wa Smart wana vifurushi vyao vya internet vinanishawishi sana kujiunga nao,japo sijui wanapatikana wapi..lakini swali ni je,hivi hii unlimited yao ni unlimited...
Sheria hii inaanza kutumika september 1 Je, Nchi imejipanga kweli au Geresha tuu , Je tuna Cyber Space? au ni Kutishana tuu wataalamu wa I.T watueleze na wenye uzoefu wa nchi nyikingine kuhusu...
Guyz anaombeni mnisaidie mm nipo interested sana nakujifunza Programming and ninandoto kubwa sana ya kujakuwa Programmer in future ningependa sana kuja kuiishi hyo ndoto yangu Ila kwasasa...
wakuu habari yenu! Mimi nna tecno H6 operating system ilimisbehave ikastuck nkaizima simu nilipoiwasha ikawa inaishia kwenye logo ya tecno alafu inajizima na kujiwasha inaendelea hivyo. Nilijaribu...
Wakuu,
Mwenye Wireless router ya Zantel ambae haitumii tafadhali sana nina shida nayo offer 70,000. Mwenye nayo anayo ona ofa ni ndogo mazungumzo yapo naweza kusikiliza offer yake nikiimudu...
Disable all Windows 10 Privacy Issues.....
Location Data
Biometrics and Handwriting data
Advertisement and its Tracking Code
Apps access to your personal information
Windows Defender and Sample...
Tangu juzi decoder yangu ya dstv imeniletea mauzauza. Haioneshi chochote kuna kataa kanjano kanawaka. Decoder ni DSD 3 U. Mwenye ufahamu anisaidie maana dstv wameniambia nizime na kuwasha na...
Nisaidieni laptop yangu toshiba c850-b540 aishiki wireless. Nimejarbu kutafuta kwenye net nmekosa kabsa. Tafadhali ambaye anajua namna ya kupata wireless kwenye aina iyo ya laptop anisaidie plz.
Tigo walitikisa sana kwa series yao ya ascend y200 (Tsh 165,000)mwaka juzi na y300 (Tsh 175,000 na 195,000)ndio ikawa hatari zaidi kuanzia mwaka jana. Hizi simu zote nimezijaribu, ziko poa sana tu...
Habari
Jamani nina shda ya ufahamu juu ya hyo device tajwa hapo juu.
Ningependa kufaham ni app gan zimo ndan yake na pia ktk harakat zangu za kugugo nikaona kwamba whatsapp haisapot tablet...
kwa mfano una huduma ya internet cafe ambayo pia huduma ya wireless ipo.sasa nitafanyaje kila mteja anayetaka kutumia huduma hiyo atumie password ya kwake na isifanane na mwingine?? kuna software...
Wakuu kuna laptop hapa inazngua sana...
Pointer ya mouse inakua ina move yenyewe, kwa hiyo mpka nashindwa kufanya selection ya program vizuri.
Sasa tatizo laweza kua nini ? and how to fix it.
Habar zenu wana JF
Naombeni msaada, nina site yangu (Udaku Leo - Pata udaku daily) ambayo hapo mwanzo adsense zilikuwa zinadisplay bila tatizo kwa zadi ya mwaka, lakini sasa ghafla tu zimeacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.