Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
Wakubwa habari za majukumu,simu yangu imekumbwa na tatizo ikiwa ni baada ya kuupdate android version kutoka 4.4.2 kuwa 5.0 kwa kutumia odin kila nikiingia setting kwa lengo la kufanya setting kwenye kwenye mobile network nikiingia access point names inaandika Unfortunately,settings has stopped.nimesha clear sana data kwenye application manager nimesha reset kawaida sana lakini tatizo bado lipo vilevile nimesha hardreset lakini bado picha ni kama hivi

