What is the best Download Manager apart from IDM?

What is the best Download Manager apart from IDM?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
I have been using IDM today in vain, i want to switch to something new.
Do you have any recommendations?
Copy to Watu8, Chief-Mkwawa, Mwl. RCT
 
Last edited by a moderator:
IDM ndio habari ya mjini wengine ni kucopy na kupaste tu..
 
Mkuu sijawahi kutumia IDM huwa naona tu reviews za watu kuihusu...

So far huwa natumia download manager fulani ya kichina inaitwa Xunlei Thunder ambayo ipo kwa kichina...

Sidhani kama itakufaa...
 
Imegoma kivipi usaidiwe

IDM haifanyi kazi kwenye PC yangu, nimeifuta nikataka kama kuna Downloader nyingine ambayo inafanya kazi nipewe.
Mwl, rct amenipa ambayo inafanya kazi.
Thanks for your concern buddy.
 
Niliyopewa sasa hivi imeleta ushindani, i'm enjoying now.

hapana mkuu...IDM najua inakusumbua ndo mana umeridhika ila trust me idm ni shidaa kuanzia performance mpka user interface. hizo DAM,eagleget zote nishawah tumia kipind na Mimi idm inanisumbuaga...ila for now idm ni the best
 
IDM wameweza kutubana watumiaji wa downloader yao.
 
video za youtube idm siku hizi haikubali
hakuna mtandao ambao IDM haikubali. Mkuu kama unatumia hakikisha umeintergrate na iyo browser yako. Na ni simple kuintergrate kwenye mozila ila kama umeupgrade mozila make sure unaishia version ya 39 ya kuanzia 40 itakusubumbu kwa sababu ya build ya idm husika.
 
IDM wameweza kutubana watumiaji wa downloader yao.

kwa sasa IDM ina crack ambayo tatizo la fake serial number limekuwa fixed. Ukishairun ndo life time hata ukiupdate idm haijiblock tena. Ujue tuu kuintergrate na browser yako.
 
Back
Top Bottom