Product key ya windows 10 enterprise

Product key ya windows 10 enterprise

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
Mwenye product keys ya windows 10 enterprises naomba anisaidie
 
Umetoka windows gani? Win 10 ni free kwa wenye win 7 na 8.

Kuwa makini na hio enterprise maana microsoft ndio wanapokula hapo kushtakiwa ni rahisi tu.
 
Mm nimedownload package kama package na sio ku upgrade
 
Hahahahahahahah hapo ni kushusha windows bob hakuna namna
 
ninachoipendea win 10 inasuport vitu vingi sana, tatizo ni mazoea, is as if sitaki kuiacha win 7
 
Ni kwel aiseee iko poa sana hata mm naikubali
 
Mm nimedownload package kama package na sio ku upgrade
Hata kama umedownload package tumia keys zako za win 7 au 8.

Key inauzwa haiwezekani watu wengi mkashare key moja.

Unless kama umeamua kurisk na kupirate tafuta activator na sio key
 
Ok hizo activator za windows 10 unazo kaka
 
Mimi nime-install win 10 ila inagoma ku-activate. Nifanyeje? Inafanya kazi vizuri tu, so far
 
Acha nayo hyo kama inafanya kazi fresh kaushia mana c vitu ambavyo ulikuwa unafanya mwanzo c vinawezekana
 
Poa nashukuru kwa hilo ngoja nifanye hvyo kwanza
 
Nimedownload ile zaga na pc yangu sahv iko windows activates asante sana Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Ok tanx joh ingawa jana nilidownload activator
 
Mm nimedownload package kama package na sio ku upgrade

windows 10 package pia inafaa kuUpgrade version husika ya win 7, 8 au 8.1 . tena bila kuhitaji key au activator hata kama ulikuwa unatumia windows ambayo ni cracked. cha msingi extrack hiyo package then RUN bila kuBoot from CD. na itaacha file zako , settings zako, na programs zako intact
 
Back
Top Bottom