Mzee Mwalubadu
Senior Member
- Jun 25, 2015
- 178
- 72
Wakuu salaam,
Baada ya salamu nina shida ya namna ya kupakua video Facebook, Instagram na kufungua zile za YouTube hapa JF. Nia ziweze kuwemo kwa kumbukumbu yangu ya simu.
Je, nitumie utumizi (application) gani au nifanye nini nifanikiwe? Natumia simu ya tecno inayotumia mashine ya kuendeshea (OS) ya Android..
Ninatanguliza shukrani za dhati..
Aione CHIEF MKWAWA, Mwl. Mwl.RCT na wote wenye mapenzi mema.