pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,547
- 4,965
Msaada please hii app inafanya kazi gani
Umeikuta wapi mpaka ukawa interested, nauliza kwa kuwa kuna maelfu ya apps, why phoneleash?
Nimejaribu kuitumia ni spyware iko poa sana ukituma na kupokea text inakuwa forwarded pia kwenye email yako.Nilinunua simu kwa mtu TECNO H6 ina application nyingi ikiwemo hii nimejaribu kusoma maelezo play store sijaelewa