Msaada Camera katika Smartphone!

Msaada Camera katika Smartphone!

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari Wana jf?? Nikitaka kupiga picha katika cm yangu inasem hivi "Camera has stopped unexpectedly need to restart" na hatimaye inafeli kabissa kupiga nishajaribu kui restore mara kadhaa ila tatizo bado lipo naombeni ushauri wenu wana jf Nn tatiz na nifanyaje? Ahsanteni Asubuh njema!!
 
Weka ant virus kwenye cm ya cm security scan halafu enjoy maisha..!!
 
Back
Top Bottom