richnigga Member Joined Dec 25, 2014 Posts 84 Reaction score 59 Aug 12, 2015 #1 Wadauu, naombeni msaada kwa anayejua bei ya display ya PC kama hyo, aina ya DELL.... display yangu imepasuka na nahitaji kuibadilisha Attachments 1439390559085.jpg 31.8 KB · Views: 122 1439390584278.jpg 38.3 KB · Views: 106
Wadauu, naombeni msaada kwa anayejua bei ya display ya PC kama hyo, aina ya DELL.... display yangu imepasuka na nahitaji kuibadilisha
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Aug 12, 2015 #2 Hio ni 15.6" i hope, around 120,000 mpya ila unaweza pata chini ya hapo, pia used ni bei chini zaidi.
Hio ni 15.6" i hope, around 120,000 mpya ila unaweza pata chini ya hapo, pia used ni bei chini zaidi.