Waliohitimu degree ya IT na hawana kazi

Waliohitimu degree ya IT na hawana kazi

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
919
Reaction score
938
Mm nam ni muhitim ya degree mwaka huu kutoka mzumbe nilikuwa natafuta watu wenye interest kama ya kwangu ya kupenda programming ili tuungane na kuform company kama tutakuwa na interest moja kuliko kukaa na kuangaika kutafuta kaz wakat wewe unaweza kujiajir. Matatizo yako mengi ya kusolve kama tutakuwa competent katika taaluma zetu. Njoon tujaribu kuliko kujifelisha wakat bado ujajaribu.
 
Mm bado nasoma mzumbe. Je tunaweza kushirikiana kwenye hlo

Endelea na kusoma mpaka umalize na ujitahidi sana hasa katika somo la kusoma na kuandika. Inaonekana uliingia hapo na Div5. Nimesikitishwa na uandishi wako.
 
Mm nam ni muhitim ya degree mwaka huu kutoka mzumbe nilikuwa natafuta watu wenye interest kama ya kwangu ya kupenda programming ili tuungane na kuform company kama tutakuwa na interest moja kuliko kukaa na kuangaika kutafuta kaz wakat wewe unaweza kujiajir. Matatizo yako mengi ya kusolve kama tutakuwa competent katika taaluma zetu. Njoon tujaribu kuliko kujifelisha wakat bado ujajaribu.
Inaonekana kuandika huwezi. Nipo tayari kuwaandikia business plan yenu bure, kuwaandalia vipeperushi na matangazo yote...
 
Kitu gan ambacho ujaelewa acha mambo ya kiswahil
 
Inaonekana kuandika huwezi. Nipo tayari kuwaandikia business plan yenu bure, kuwaandalia vipeperushi na matangazo yote...

Utakuwa umetusaidia sana kaka. Kiukwel uandish siko vizur, ndio maana kwy company amwez kuwa wote programmer lazima kuwa na secretary na wenginao il kukamilsha company. Nadhan umenisoma kaka
 
Mm nam ni muhitim ya degree mwaka huu kutoka mzumbe nilikuwa natafuta watu wenye interest kama ya kwangu ya kupenda programming ili tuungane na kuform company kama tutakuwa na interest moja kuliko kukaa na kuangaika kutafuta kaz wakat wewe unaweza kujiajir. Matatizo yako mengi ya kusolve kama tutakuwa competent katika taaluma zetu. Njoon tujaribu kuliko kujifelisha wakat bado ujajaribu.

Hujaorodhesha skills zako, hujatoa sababu kwa nini mtu aungane na wewe, kusema neno tu programming sio mwisho, umejipanga kubase kwenye nini hasa, mobile, web, au nini? Mfano wa kazi ambazo umefanya au unafanya? Sio mtu akawa anajiunga na wewe kumbe ana skill set mara 10000 ya ulizo nazo wewe, utamconvice vipi mtu kama huyo kua u can work together
 
Hujaorodhesha skills zako, hujatoa sababu kwa nini mtu aungane na wewe, kusema neno tu programming sio mwisho, umejipanga kubase kwenye nini hasa, mobile, web, au nini? Mfano wa kazi ambazo umefanya au unafanya? Sio
mtu akawa anajiunga na wewe kumbe ana skill set mara 10000 ya ulizo nazo wewe, utamconvice vipi mtu kama huyo kua u can work together

Mi nime specialize kwy web development especially in PHP programming. For far kaz nilizozfanya kama my own projects ni hiz hapa:
-Quality Assurance System for University
-File tracking system now used in foreign affairs
-Online Student Registration
-Saccoss Managemtn System
-Final Project Management System
-Accodation Management System
-FashionCatalogy now available online www.fashioncatalogy.com
 
Ni idea nzuri kaka.. ila mbna site yako ya fashioncatalogy inadisplay errors kwa user?
 
Attachments

  • 1439129124363.jpg
    1439129124363.jpg
    20.7 KB · Views: 229
Ni idea nzuri kaka.. ila mbna site yako ya fashioncatalogy inadisplay errors kwa user?

Mi nimefanya development tu kumilik wanamilik wengine business already been done.
 
Kwa style hii hufiki popote, na unaonyesha wazi kua skill set yako bado sana, we huoni hapo hiyo site ni tatizo la developer kabisa?

Code:
[SIZE=1]Unable to connect to mysql databae:
Fatal error:  Call to a member function fetch_assoc() on a non-object in /home/fashioncatalogy/public_html/includes/slider.php on line 11[/SIZE]

Site yako imeshindwa kuconnect na database, afu msipende kutuma technical errors kwa user, errors mzilog kwenye file ambalo anaweza access admin peke yake, kwa user ni vizuri kutuma tu notification kua something went wrong, sio kuonyesha error code kabisa, its very unprofessional na inaweza lead into dangerous operations kama mysql injections, kuna error based mysql injections, mtu anasoma errors unazogenerate anabadilisha query hadi mwisho wa siku anafanikiwa kuingia kwenye database akaichezea anavotaka.

Piga sana kitabu ongeza practice utafika unapohitaji, ni mwanzo mzuri kufikiria kujiajiri, real world coding is a lot different na unachosoma darasani.
 
Hakuna kitu kirahis na raha hapa dunuan kama kukosoa, wanaokosoaga mara nyingi ni paper work hakunaga ata kitu alichojaribu kufanya kwy field yake ya IT. Programming language sio English kaka kila mtu anaweza
 
Sasa mkuu unaelekezwa badala ushukuru unaanza kujitetea, utaweza kufanya kazi na mtu kweli??? We kosa lako unaanza mara ohh umefanya tu development wamiliki sasa wengine, kukosoa sipendi kukosoa, hua nasifia panapostahili kusifiwa, ila wewe unatengeneza kitu kibovu hakifanyi kazi unampa mteja alafu watu wanalalamika unasema kosa sio lako, sasa mteja ndo aliyecode hiyo site akacreate na database??

Programming sio rocket science mtanzania, hasa development ya website nyepec kama hizi mnazotengeneza. Hiyo site uliyotengeneza kwa nodeJS haichukui hata saa moja kuandika kwa hiyo usidhani kua ulichofanya ni kigumu sana au very huge achievement. U have a long way to learn ila kwa kiburi chako sijui kama utafika... Hakuna mtaalam wa haya mambo tunaelekezana siku zote tunazidi kusonga mbele thats how this thing always go. Fix ur mistakes sio unaleta ushindani..
 
System nilimpa owner inafanya kaz vizur paka nikapost jamiiforums kwa wale madzana wajiunge ku advertise products zao kwy system ya fashioncatalogy nanikaweza na link. Wao ndo wamevuruga nakufanya changes zngne bila kunshrksha hapo kosa langu lip kaka labda mysql errors nakubari. Uwez kukabidh system kwa owner kama ile akakumalizia pesa atakuwa ana akil. Kuja kuongea nao walibarisha database with different credentials ndo maana kuna errors.
 
Back
Top Bottom