Msaada wa audio normalizer software

Msaada wa audio normalizer software

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
511
Reaction score
574
Heshima kwenu wanajf,,
Tatizo langu ni usumbu ninaoupata wa kuongeza na kupunguza sauti mara kwa mara pindi ninapokua nasikiliza music kwenye usb kutokana na nyimbo kua na sauti zisizokua na volume(db)zinazolingana.
Ombi langu kwenu wataalamu ni msaada wa software ambayo itakayo niwezesha kuzi flat au kuzifanya ziwe na volume inayolingana kabla sijaziweka kwenye usb ili niweze kuwa stress free pindi ninapokua na wageni.
Copy kwa Wamavoko
 
Msaada tafadhali

adobe audition inafanya normalization lakini ni kwa track moja moja . unaedit kila track na kui save kama mp3. au format nyingine. pia unaweza kuEQUALIZE kila track na kuisave.
 
Asante mkuu kwa msaada ebu niifanyie kazi nitarejesha feedback
 
Pia kwa kuongezea alipoishia Mr. ymollel, also unaweza tafuta software inayoitwa AMP3 ina option ya Auto Equalizer for each track. Enjoy!
 
Last edited by a moderator:
Uwa unaweka nyimbo kwenye usb mkubwa, usb ni nn labda maana sijakuelewa mm ni producer ningeweza kukusaidia ila ujaweka swali lako maana usb ni njia tu na sio device
 
Mkuu lupamba kuhusu usb namaanisha memory card au external drive(hdd)
 
Back
Top Bottom