Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,179
Wana jamvi wenye ujuzi waa kitu, once nakumbuka while natumia samsung note 3. Ilikuwa na multi window, kwa watumiaji wa samsung wanajua nazungumzia nini. Naomba kuuliza vipi kwenye samsung s3 hii haina mult window au? maana nimejaribu kucheck sijaona...
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa