Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Habari za humu wakuu, nataka kununua photocopy machine kwa ajiri ya stationary, kuna mtu kanishauri kutumia canon ir1024. Je kwa wataalamu hii machine ni suitable kwa busy activities za stationary? Naomba mwenye kujua anijuze faida na hasara zake hii machine.