SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Za weekend waungwana.
Hebu tusaidiane hapa, mwenye kujua App ya android ambayo inauwezo wa ku convert Mp4 videos to AVI au MPEG ili zi play kwenye deki hasa hizi za singsung. Nimejaribu App kadhaa lkn baada ya ku convert kwa simu zina goma kuplay.
NB: Ombi langu ni kama mtu hana PC. na anataka apakue wimbo wa video au movie kwa simu then aiangalie kwenye TV.
Nawasilisha mada karibuni kwa msaada.
Chief-Mkwawa Mwl R.C.T Njunwa

Last edited by a moderator: