Msaada: Fundi simu wa jadi tafadhali!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Fundi simu wa jadi tafadhali!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ze burner, Aug 7, 2011.

 1. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndugu wana JF. Habari za Leo
  Hii ni mara ya pili kwa upande wangu kutumia simu na kupokea kauli za kutatanisha kutoka kwa mafundi.
  Mwanzoni nilikuwa na na nokia n 95 ambayo katika mazingira ya kutatanisha ilizima ghafla na nilipopeleka kwa fundi nikaambia tatizo halionekani hivyo ilishindkana kuwashwa nikaipotezea.

  Hivi juzijuzi nikiwa katika dala dala na simu aina ya lg 50w nilihisi umoto mkali simu inaunguza. nikaitoa betri na baadaye kuiweka tena. the samething happened. hivyo niliamua kuipeleka kwa doctor wa simu naye alinieleza kuwa simu yangu ina shoti kwa mujibu wa vipimo. fundi alijaribu alivyoweza ila ikashindikana kuondoa shoti hiyo bado ninayo.

  sasa najiuliza kama ingekuwa binaadamu tungempeleka kwa mganga wa kienyeji. Hivi inawezekana simu kurogwa??? jee waganga wa kienyeji wanaweza kuiangaza simu kujua ina matatizo gani. Those experienced the same please help!!!
   
 2. networker

  networker JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  call 0718234381 mtalamu sana wa hiyo mambo
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,119
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Inawezekana uwezo wafundi umefika mwisho.ninachofahamu simu inapopatwa na dhoruba la short circuit mala nyingi hutokea ama ktk cpu,power ic au katika mfumo wa charging.kwa tatizo lako kama lipo ktk cpu afu ukute hiyo cpu iliwekewa na gundi flani hivi kuizunguka cpu basi kupona huwa ni risk sana.
   
 4. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mkuu nisaidie huyu jamaa anaitwa nani?
   
 5. networker

  networker JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nimezoea kumita dogo ila we mwambie nilikuona dukani kwa tameem mita ya msikiti wa mtambani kinondoni ata kuelewa
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  PAW atakusaidia shida yako.
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,119
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  nazjaz PAW WA JF?
   
 8. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mkuu nimeshaongea naye ngoja nimtafute. thanxx ntarudi kwa majibu
   
 9. chama2chawa

  chama2chawa JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2015
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  ujar
  Leo mwaka wa ngapi mbona ujarudi!
   
 10. C

  Casuist JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2015
  Joined: Jul 23, 2014
  Messages: 1,063
  Likes Received: 1,324
  Trophy Points: 280
  Amegundua simu hufikia mwisho wa maisha yake kama binadamu ikishindikana hufariki..
   
Loading...